# Nilikuwa pamoja nanyi "Nili kuwa nina watembelea # Katika udhaifu Inawezekana maana ni 1) "udhaifu wa kimwili" au 2) "Kujisikia kupungukiwa." # maneno ya ushawishi Ni maneno yanayoonekana kuwa ya busara, na msemaji anategemea watu wafanye anachosema au waamini.