# Sentensi Unganishi Paulo anaelezea mwenendo na ushirika wa waumini katika Krito wanaposubiri kurudi kwake mara ya pili # kwa sababu ya neema ya Mungu ambayo Kristo Yesu aliwapa Paulo anazungumzia neema kana kwamba ni kitu chenye umbo ambacho Yesu amewapa wakristo kama zawadi. " hii ni kwa sababu Yesu amefanya iwezekane kwa Mungu kuwa mwema kwako" # Amewafanya kuwa matajiri Yawezekana maana ni 1)"Kristo amekufanya wewe tajiri" au 2) "Mungu amekufanya wewe tajiri." # Amewafanya kuwa matajiri katika kila njia inatumia lugha ya makazo kumaanisha" aliwafanya matajiri wenye baraka nyingi za rohoni" # katika usemi Mungu amekupa uwezo wa kuwaambia na kuwashirikiwe wengine kuhusu ujumbe kwa namna mbalimbali. # pamoja maarifa yote. Mungu amekuwezesha kuelewa ujumbe wake kwa namna mbalimbali. # ushuhuda kuhusu Kristo ya kwamba amethibitishwa kuwa kweli miongoni mwenu. maneno haya yanaweza kumaanisha: 1) ninyi wenyewe mliona tulichokise kwenu kuhusu Kristo ilikuwa ni kweli 2) watu wengine walijifunza kwa kuona ninyi na sisi tunavyoishi katika Kristo.