# kama kaka yangu Mwanamke anatamani angemuonyesha mpenzi wake mahaba hadharani kama ngefanya kwa kaka yake. Hasemi kuwa mwanamke anaruhusiwa kufanya mapenzi na kaka yake. # ningekuona nje "wewe hadharani" # ningekubusu Mwanamke inawezekana anambusu kaka yake kwenye shavu kumsalimia. # kunidharau "kunifanya nijisika haya"