# Kauli unganishi Paulo ana hitimisha hii sehemu kuhusu maisha ya muumini kwa ajili ya wengine kwa kuwakumbusha jinsi Kristo alivyoishi. # Sasa Tafasri hili kwa kutumia maneno katika lugha yako linalotumika kutambulusha wazo jipya katika mdahalo. # sisi tulio na nguvu "sisi tulio na nguvu katika imani # Sisi Kkiwakilishi hiki cha jina kinamwelezea Paulo, wasomaji wake na waumini wengine # dhaifu "wale ambao ni dhaifu katika imani" # kumwimarisha Kuimarisha imani yake