# Sentensi unganishi: Paulo anaendelea na wazo lake kwa waisraeli kuamini lakini akisisitiza kwamba wale walio wayahudi na yoyote yule anaweza kuokolewa kwa imani katika Yesu. # Ndugu Hapa ina maanisha wakristo wenzetu, ikijumuisha wote wanuame na wanawake. # shauku ya moyo wangu "shauku yangu kuu" # ni kwa ajili yao, kwa ajili ya wokovu wao "ni Mungu atakaye waokoa wayahudi"