# Mnyama akapewa ... Aliruhusiwa "Mungu alimpa mnyama ... Mungu alimruhusu mnyama" # Mnyama akapewa mdomo ili azungumze maneno ya kujisifu na matusi Kupewa mdomo inamaanisha kuruhusiwa kuzungumza. "Mnyama aliruhusiwa kuzungumza maneno ya majivuno na matusi" # miezi arobaini na miwili mieezi miwili - "miezi 42" # kuongea matusi dhidi ya Mungu "kusema maneno ya kejeli kuhusu Mungu" # akalitukana jina lake, eneo alililokuwa akiishi na wale wanaoishi mbinguni Haya maneno yanaonesha jinsi mnyama alivyozungumza maneno ya matusi dhidi ya Mungu.