# na kufunga nafsi yake kwa kiapo "anajitoa mwenyewe ili kutimiza ahadi" au "ahadi ya kufanya jambo fulani" # nadahari na ahadi maneno haya yana maana moja "Nadhriri" # na kufunga nafsi yake "ambacho ameahidi mwenyewe kukitimiza" # kumzuia "kuahirisha alichoahidi" # ndipo nadhiri zake zitakuwa naguvu. kila ahadi ... itabaki kuwa naguvu. "atatakiwa kutimiza kile alichoahidi"