# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanatakiwa kufanya wakati wa sikukuu za mwezi wa saba. # siku ya nne ya kusanyiko "siku ya 4 ya sikukuu." neno "kusanyiko" linamaanisha sikukuu za majuma. # wanakondoo wa kiume kumi na nne "wanakondoo wa kiume 14" # kama ilivyoamriwa "kama BWANA alivyoamuru" # sadaka zake za unga, na sadakazakae za vinywaji "pamoja na sadaka zake za unga, na sadaka zake za vinywaji zinazoambatana nazo."