# Mchukue Joshua mwana wa Nuni, mtu ambaye Roho yangu hukaa Roho ya BWANA yumo ndani ya Joshua, Hii inamaanisha kuwa Joshua humtii BWANA na kufuata amri zake. # umwekee mikono yako juu yake "umwekee mikon yako juu yake ili umwagize" # umwamuru kuwaongoza mbele ya macho yao "na mbele yao umwamuru Joshua kuwaongoza watu wa Israeli"