# Nadabu ... Abihu ... Ithamari Tazama 3:1 # Walipotoa sadaka kwa BWANA sadaka ya moto isiyokubalika Tazama 3:3 # waliohesabiwa "ambao viongozi waliwahesabu" # Elfu ishirini na tatu "23,000" # Umri wa mwezi mmoja na zaidi "umri wamwezi mmoja na kuendelea" # hawakuhesabiwa "lakini viongozi hawakuwahesabu" # hawakupewa urithi "kwa sababu BWANA alisemawasipewe ardhi kama uriti wao"