# viongozi wote wa watu "viongozi wote wa watu ambao wana hatia ya kuabudu sanamu" # ili waonekane wakati wa mchana Viongozi wa Waisraeli watawaua watu hawa na kuacha maiti zao nje ili watu wote wawaone # Viongozi wa Israeli "Kwa viongozi wa Israeli wasiokuwa na hatia ya kuabudu sanamu"