# Kisha BWANA akafungua kinywa cha Punda na akaongea "Kisaha BWANA akampa punda uwezo wa kuongea kama vile binadamu awezavyo kuongea" # Akamwabia Balaamu "Yule punda akamwambia Balaamu" # Je, mimi si punda wako ambaye umenipanda maishani mwako mwote mpaka hivi sasa? "Mimi ni punda wako ambaye umenipanda maishani mwako mwote, mpka hivi sasa." # Je, nimewahi kuwa na tabia ya kukufanyia hivi hapo awali? "sijawahi kuwa na tabia ya kukufanyia hivi"