# hema Hema ni kibanda kinachobebeka amacho kimetengenezwa kwa nyuzi zilizosukwa na zinazowezwa kuunganishwa na nguzo ndogo ndogo pamoja. hema zinaweza kuwa ndogo ndogo au kubwa kubwa.