# ili nipate kuwaangamiza "ili niweze kuwatekeketeza" # wakalala kifudifudi Hii inaonyesha kuwa Musa na Harunu walikuwa wnajinyenyekeza # Mungu wa wote wenye mwili "Mungu anayewpa watu uhai" # kama mtu akitenda dhambi, ni lazima uwe na hasira na watu wote? "tafadhali usiwe na hasira na watu wote kwa sababu ya dhambi ya mtu mmoja."