# Nuni .. Yefune Haya ni majina ya wanaume # amabo walikuwa miongoni mwa wale waliokuwa wametumwa Ambaowalikuwa miongonimwa wale ambao Musa alikuwa amewatuma # wakachana mavazi yao kuchana mavazi ilikuwa ishara ya kuonyesha kuwa mtu huyo ametabika sana na anaomboleza # Ni nchi inayotiririka maziwa na asali Tazama 13:27