# uwakusanye jamii yote "wakusanye jamii yote" # mbele yangu, BWANA BWANA imetumika kwa jina lake Mungu # Wana wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi "Watu wa Israeli wataweka mikono yao juu ya Walawi, wakiwaweka wakfu kwangu" # kuwa sadaka ya kutikiswa Haruni alitakiwa kuwatoa Walawi kwa BWANA kwa kiwango sawa cha kuwaweka wakfu kama ilivyo sadaka inayotolewa kwa BWANA. "kama ilivyo sadaka ya kutikiswa"