# watoto wake Neno "wake" inamhusu Haruni # kuelekea mawio ya jua huu ni upande wa mashariki wa masikani. "upande ule wa mashariki kwenye mawio ya jua" # wataajibika na majukumu neno "majukumu" ni nomino zahania inayoweza kuelezeka kama kitenzi, "kufanya majukumu" # mgeni atakayekaribia mahali patakatifu auawe" Utamwua kila mgeni atakayekaribia mahali patakatifu # wanaume ishirini na mbili elfu wanaume 22,000