# Taarifa kwa ujumla BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania. # Nathaniel mwana wa Zuari Tazama 1:7 # Kikosi Hili ni neno la kijedshi lenye maana ya kundi kubwa la wanajeshi. Kila kabila lilikuwa na "kikosi chake."