# Maelezo ya Jumla: Mika anaendelea kuongea. # lia kwa Yahwe "piga kelele kwa Yahwe kwa ajili ya msaada" # Atauficha uso wake kutoka kwenu Hii inamaanisha Mungu hatasikia vilio vyao. Hawatasikia vilio vya maskini, na hivyo wapokee kama walivyofanya kutoka kwa Mungu.