# Maelezo kwa ujumla Huu ni mwamnzowa habari mpya inyoenedelea hadi 25:44, amabpo Yesu anafundisha juu ya wokovu na hukumu ya mwisho. Anaanza kuwaonya watu juu ya Mafarisayo na waandishi # Wanakalia kiti cha Musa. Kiti kinamaanisha mamlaka ya kutawala na kuhukumu. "Wanayo mamlaka kama aliyokuwanayo Musa." au "wanayo mamlaka ya kusema maana ya sheria Musa." # Chochote. "Yoyote" au "kila kitu."