# Yesu alielewa mtego wao "lakini Yesu alitambua mtego wao ulivyokuwa" au " lakini Yesu alione kuwa walikuwa wanajaribu wanamtega" neno "wao" linamaanisha wapelelezi" # Dinari Hii ni sarafu ya Kirumi yenye thamani ya mshahara wa siku. # Ni sura na chapa ya nani ipo juu yake Yesu alitumia swali kuwajibu waliokuwa wanamtega. # Sura na chapa "picha na jina"