# pembe za madhabahu Tazama maelezo ya sura ya 4:6 ili kuona linavyofasiriwa. # naye ataimwaga damu yake yote "Naye ataimwaga damu yake yote iliyobaki" # Naye tayakata mafuta "Naye" hapa humrejelea mtu anayetoa hiyo dhabihu. # kama tu vile yakatwavyo mafuta ya mwana-kondoo Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "kama tu vile mtu akatavyo hayo mafuta ya Mwana-kondoo" # matoleo ya Yahweh yafanywayo kwa moto Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Matoleo ya kuteketezwa kwa Yahweh # atafanya upatanisho kwa ajili yake kwa dhambi aliyoifanya Ile nomino dhahania "upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. :atapatanisha kwa ajili ya dhambi aliyotenda huyo mtu" # na mtu huyo atakuwa amesahewa. Hili laweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "Yahweh atasameha dhambi ya mtu huyo"