# Mfariji atauhukumu ulimwengu kutokana...haki...naenda kwa Baba Yesu alipoondoka duniani na akarudi kwa Mungu Baba, kisha Mungu Roho akaanza kuwaonyesha watu wana dhambi na wanahitaji msamaha unaopatokana kwa Yesu pekee. # Ulimwengu Inamaanisha watu wanaoishi duniani # kutokana na haki, kwa sababu naenda kwa Baba, na hamtaniona tena "Atawaambia watu kwamba kwa sababu narudi kwa Baba, hamtaniona tena, mtajua kuwa ni mimi mwenye haki ya kweli" # Baba Hiki ni cheo cha muhimu cha Mungu. # Mkuu wa ulimwengu Angalia jinsi ulivyotafsiri kwenye Yohana 12:30