# Sentensi unganishi: Yesu anamjibu Yuda (Siyo Iskarioti) # Baba yangu Hiki ni cheo muhimu kwa ajili ya Mungu # Neno ambalo mwasikia silo langu bali la Baba ambaye kanituma. Yesu anasema kwamba yale ayasemayo yatoka kwa Baba. Ujumbe wa Yesu pia ni ujumbe wa Baba kwasababu Baba na Mwana wanakubaliana kikamilifu siku zote # Neno Hii inaweza pia kuwa ujumbe