# Mfariji Neno linaelezea Roho Mtakatifu, "ambaye atakuja karibu kuwasaidia." Kuwafundisha wanafunzi # Roho wa Kweli Roho Mtakatifu # ambaye ulimwengu hautampokea Hapa neno "ulimwengu" linamaanisha watu wasioamini. Watu walio kinyume na Mungu.