# Iskarioti Hii inamaanisha kuwa Yuda alitoka katika kijiji cha Keriothi # Shetani akamwingia Hii inamaana kwamba Shetani alimteka na kumwongoza