# Niseme nini? Baba, niokoe mimi na saa hii? Hii ni lugha ya balagha. Japokuwa Yesu anatamani kuepuka mateso, bado anachagua kumtii Mungu na kuuawa. # Baba Hiki ni cheo cha muhimu cha Mungu # saa hii Hii inamaanisha wakati Yesu atateswa na kufa msalabani. # ulitukuze jina lako ufunue utukufu wako (Mungu) ili ujulikane # sauti ikaja kutoka mbinguni Mungu aliongea kutoka mbinguni