# Litra Litra ni kipimo cha uzito - paundi ya Kirumi ni sawa na gramu 327.5 # Manukato Hiki ni kimiminika chenye harufu nzuri kilichotengezwa kwa mafuta ya miti na maua yanayonukia vizuri. # nardo Haya ni manukato yaliyotengenezwa kutokana na maua yanayopatikana katika milima ya Nepali, China, na India. # nyumba yote ilijaa harufu ya manukato "harufu nzuri ya manukato yake iliijaza nyumba"