# Maelezo ya jumla: Yesu anaondoka Bethania na kwenda Efraimu. # tembea kwa uhuru mbele ya Wayahudi Hapa anaongelea viongozi wa Kiyahudi. # nchi hili ni eneo nje ya mji ambapo watu wachache wanaishi.