# Maelezo ya jumla Hii ni sehemu ya pili ya simulizi. Kuhani mkuu pamoja na Mafarisayo wanakutana kwa ajili ya kikao cha baraza la Kiyahudi # Kisha makuhani wakuu kisha viongozi kati ya makuhani # wote wataishi ndani yake Viongozi wa Kiyahudi waliogopa kwamba watu wangemfanya Yesu kuwa mfalme wao.