# Ajapokufa Hapa "kufa" inamaanisha kifo cha kimwili # Bado ataishi Hapa "Ishi" linamaanisha uzima wa kiroho # Naye aishiye na kuniamini hatakufa kamwe Na wote waniaminio mimi hawatatengwa kamwe milele kutoka kwa Mungu. # Hatakufa kamwe Hapa "kufa" inamaanisha kifo cha kiroho