# Maelezo ya jumla: Kwa sasa Yesu yupo Bethania. # alimkuta Lazaro tayari alikuwa kaburini kwa muda wa siku nne Unaweza kutafasiri hivi pia, "alijua kwamba watu walikuwa wamekwisha kumweka Lazaro kaburini kwa muda wa siku nne kabla ya yeye kufika" # kuhusiana na kaka yao Lazaro alikuwa kaka yao mdogo