# Musa hakuwapa ninyi sheria? "Ni Musa aliyewapa ninyi sheria." # Kwa nini mnataka kuniua? "Mnatafuta kuniua." # Una pepo "Wewe ni kichaa." # Nani anataka kukuua? "Hakuna yeyote anayetaka kukuua."