# Wakati huo wanafunzi wake wakarudi "wakati Yesu alipokuwa akiyasema haya wanafunzi wake walirudi kutoka mjini." # nao walikuwa wakishangaa kwa nini alikuwa akiongea na mwanamke lilikuwa ni jambo la nadra kwa Muyahudi kuongea na mwanamke asiye mfahamu.