# amezaliwa kwa maji na kwa roho kuna maana mbili: 1)"kubatizwa ndani ya maji na katika Roho" au 2)"kuzaliwa kimwili na kiroho" # Amini, amini unaweza kufasiri mane haya kama yalivyotumika katika tafsiri za hapo mwanzo. # ufalme wa Mungu Neno "ufalme" ni fumbo kwa ajili ya utawala wa Mungu katika maisha ya mtu.