# Ndani yake kulikuwa uzima Hapa "uzima"ni mfano kwa kusababisha kila kitu kuishi. A: "Yeye anayeitwa Neno ndiye aliyesababisha kila kitu kuishi. # Uzima hapa tumia neno la jumla kwa "uzima." Kama utatafasiri moja kwa moja unaweza kufasiri kama "uzima wa kiroho". # Uzima huo ulikuwa nuru ya wanadamu wote "Nuru" ni mfano ambao ambao unamaanisha ufunuo wa Mungu.AT: aliifunua kweli kwetu kama vile nuru ifunuavyo kile kilichomo gizani. # NUru yang'ara gizani wala giza halikuliweza Kama vile ambavyo giza lisivyoweza kuizima nuru, watu wabaya hawajaweza kumzuia yeye ambaye ni kama nuru katika kuifunua kweli ya Mung.