# sadaka ya nafaka Sheria hii inataka sadaka ya nafaka itolewe wakati sadaka ya kuteketezwa inatolewa. # juu ya mwamba "juu ya madhabahu" # Alifanya jambo "Malaika alifanya jambo" # malaika wa Bwana akapanda katika moto wa madhabahu "malaika wa Bwana akarudi mbinguni kupitia miale ya moto juu ya madhabahu" # wakainamisha vichwa vyao chini Hii ni ishara ya utii na heshima lakini pia inaonesha walikuwa na hofu ya Bwana.