# Na atukuzwe Yahwe Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mtukuze Yahwe" au "Na Yahwe ajitukuze mwenyewe" # lakini wataaibishwa Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "lakini nitawatia aibu"