# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza juu ya mtumishii wake. # mtumishi wangu atanyunyizia mataifa mengi Mtumishi kusababisha watu wa mataifa kukubaliika kwa Yahwe inazungumziwa kana kwamba mtumishi alikuwa kuhani anayenyunyizia damu ya sadaka kufanya mtu au kitu kukubalika kwa Yahwe. # atanyunyizia Neno la Kiebrania lilitafsiriwa "kunyunyizia" hapa linaweza kutafsiriwa kama "mshangao" au "shtusha", ambavyo baadhi ya tafsiri za Biblia hufanya. # mataifa mengi Hapa "mataifa" yanawakilisha watu wa mataifa. # wafalme watafunga midomo yao Msemo "kufunga midomo yao" ni lahaja. "wafalme wataacha kuzungumza" au "wafalme watakaa kimya" # kile ambacho hawakuambiwa Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "kile ambacho hakuna mtu alichowaambia" au "kitu ambacho hakuna mtu alichowaambia"