# Taarifa ya jumla: Bwana anazungumza. # Efraimu anajichanganya mwenyewe kati ya watu Hii inaelezea namna ambavyo wafalme wa falme za kaskazini walifanya kwa bidii kujichanganya na mataifa mengine kwa ajili ya ulinzi dhidi ya uvamizi. # Efraimu ni mkate ambayo haujawahi kugeuzwa Efraimu ni ufalme wa Kaskazini wa Israeli. Taifa dhaifu kama mkate ambao haujageuzwa na mwokaji ili uwe na nguvu. # Nywele za mvi hunyunyiza juu yake "nywele za mvi" zinawakilisha umri mkubwa. # lakini hajui Huu "umri mkubwa" inaonesha wazi kuwa ufalme wa kaskazini ulikuwa dhaifu siku hata siku lakini mataifa hayajui kuwa inazeeka.