# kuzunguka eneo la hekalu "kuelekea moja kwa moja kuzunguka eneo la hekalu" # dhiraa sita urefu "dhiraa sita urefu." Hii ilikuwa kama mita 3.2. # kila "urefu" unalingana na dhiraa na ujazo wa kiganja Kila urefu wa dhiraa ulikuwa kama sentimita 54. # ujazo wa kiganja "upana wa mkono." Hii ilikuwa kama sentimita 8. # upana wa ukuta "ni jinsi gani ukuta ulikuwa mpana." Ukuta ulikuwa mpana kama jengo. # mwanzi mmoja "ilikuwa mwanzi mmoja upana." Hii ni kama mita 3.2. # urefu mwanzi mmoja "na mwanzi mmoja urefu" # panda ngazi zake "na alipanda ngazi za lango" # kina "kutoka mbele ya kizingiti hata nyuma" # vyumba vya ulinzi Kulikuwa na vyumba vilivyokuwa vimejengwa ndani ya lango ambavyo walikaa walinzi kulinda lango. # dhiraa tano kama mita 2.7. # kati ya vyumba viwili "kati ya vyumba" # varanda Tazama tafsiri yake katika sura ya 8:16.