# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Faro, akimlinganisha na dubwana katika maji. # ndoana vipande vikali au ubao ambao watu hutumia kukamatia samaki na wanya wengine katika maji # maganda vipande vigumu vilivyo juu ya samaki, mambo na wanyama wengine