# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kuilinganisha Yerusalemu na chungu kinachipikwa. # pia niataongeza chungu cha kuni Inaonyesha kwamba nguzo ya mbao i chini ya chungu kunachopikwa, ambacho kinaiwakilisha Yerusalemu. # weka ... washa ... pika ... acha mifupa iteketee Yahwe anato amri hii kufikirika watu ambao ni sehemu ya mfano. # acha mifupa iteketee "choma mifupa"