# Maelezo ya Jumla: Yahwe akaanza kumweleza Ezekieli kuhusu uzinifu wa mke wake Oholiba, dada yake na Ohola. # Oholiba Hili ni jina la kike linalomaanisha "hima yake yu katikati yake." # waliokuwa wamevaa ngua za ushawishi, walikuwa watu waendesha farasi Maneno haya yote yanaelezea watu ambao ni matajiri. "waliokuwa matajiri" # Ilikuwa kama kwa dada wote "Dada wote wakawa najisi kupitia matendo yao ya ukahaba"