# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli. # kutaka "kulazimu kuleta" # malimbuko ya kodi zenu Hapa "malimbuko" huenda inamaanisha vitu bora miongoni mwa sadaka zote zilizowekwa pembeni kutoa kwa Mungu. # vitu vyako vitakatifu "sadaka ulizoziweka pembeni kunitolea" # nitakapowatoa kutoka wale watu na kuwakusanya toka nchi ambazo mlizotawanyika Haya maneno mawili yanamaanisha kitu kimoja na kusisitiza kwamba Yahwe atawarudisha watu wake kutoka mataifa yote ambayo aliyokuwa amewatawanya. # mlikuwa mmetawanyika "nimewatawanya." # Nitajifunua mimi mwenyewe kama mtakatifu ndani yenu kwa ajili ya mataifa waone "nitakutumia kuonyesha mataifa kwamba mimi ni mtakatifu"