# Maelezo ya Jumla: Yahwe anampatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli kuhusu wale waliotawanyika. # nimekuwa mtakatifu kwa ajili yao "nimekuwa pamoja nao kuwalinda." # nchi ambazo walizoend "mataifa ambayo waliyochukuliwa" # Nitawakusanya kutoka kwa watu, na kuwakutanisha kutoka kwenye nchi Yahwe amesema hii ahadi mara mbili katika njia tofauti tofauti kwa ajili ya kuonyesha kwamba ni muhimu. # chukizo "ya kutisha," au "ya kuchukiza"