# Ikawa kuhusu Hili neno limetumika hapa kuonyesha tendo linaanzia wapi. # Mungu alipoamwamuru yule mtu aliyekuwa amevaa nguo za kitani na kusema Hii inarejea habari iliyokuwa imetolewa katikka 10:1. Baada ya kuchukua kerubi na utukufu wa Mungu katika 10:3-5, Ezekieli anarudi kueleza kuhusu yule mtu aliyekuwa amevalia nguo ya kitani. # yule mtu aliyevalia nguo ya kitani Tazama maana ya nguo ya kitani ilivyotafsiriwa katika 9:1. # pembeni ya gurudumu Tazama neno gurudumu lilivyotafsiriwa katika 1:15. # Nikaona juu ya kerubi kitu kama mkono wa mtu juu ya mabawa yao "nikaona yule kerubi alikuwa na kitu kama mkono wa mtu chini ya mabawa yao"