# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yuda. # katika hasira na ghadhabu Neno "hasira" na "ghadhabu" kimsingi yana maana moja na kusisitiza mkazo wa hasira. "kwa sababu nitakuwa na hasira nanyi mno." # mishale mikali "mkazo wa njaa" # vunja gongo lenu la mkate "Gongo" kilikuwa kitu ambacho watu waliegama juu ya kuwasaidia. Hili neno ni mfano maana yake "kuondoa kusambaza chakula ambacho ukitegemeach." "katilia chakula chenu" (UDB) # Pigo na damu vitapita juu yenu "Pigo na kifo kikali sana kitapita juu yenu." Hiki kifo kikali kitasababishwa na vita.