# Maelezo ya Jumla Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani. # mshipi Hii ilikuwa nguo iliyo tengenezwa kwa nyuzi mtu aliyo sokotwa pamoja kufanya uzi mgumu.