# Maelezo ya Jumla Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani. # muhuri Hili lilikuwa jiwe lilochorwa ambalo lilitumika kutia alama ya mchoro kwenye kitambaa kibichi. # kama vile Yehova alivyokuwa amemwamuru Musa "sawa na Yahweh alivyo mwambia Musa kufanya"